Mfano wa matendo ambayo ni sharti ya kusihi kwa imani

Swali 69: Je, matendo ni sharti ya kusihi kwa imani au sharti ya kukamilika?

Jibu: Matendo yamegawanyika aina mbili:

1 – Matendo ambayo ni sharti ya kusihi, mfano wa swalah, khofu na kutarajia.

2 – Matendo mengine ni sharti ya ukamilika kwake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 47
  • Imechapishwa: 15/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´