Swali: Je, inajuzu kufanya maandamano ya amani ikiwa serikali inaruhusu hilo?
Jibu: Sio katika dini ya Uislamu. Maadamano sio katika Uislamu. Kwa kuwa ni vurugu na uharibifu. Katika Uislamu kuna maelewano, nasaha na mawasiliano na watawala au kuwaandikia barua au kuwasiliana na wale ambao wanaweza kumfikishia. Ama maandamano, sio katika uongofu wa Uislamu. Kwa kuwa ni fujo na kiburi na yamechukuliwa kutoka kwa makafiri.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14100
- Imechapishwa: 05/09/2020
Swali: Je, inajuzu kufanya maandamano ya amani ikiwa serikali inaruhusu hilo?
Jibu: Sio katika dini ya Uislamu. Maadamano sio katika Uislamu. Kwa kuwa ni vurugu na uharibifu. Katika Uislamu kuna maelewano, nasaha na mawasiliano na watawala au kuwaandikia barua au kuwasiliana na wale ambao wanaweza kumfikishia. Ama maandamano, sio katika uongofu wa Uislamu. Kwa kuwa ni fujo na kiburi na yamechukuliwa kutoka kwa makafiri.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14100
Imechapishwa: 05/09/2020
https://firqatunnajia.com/maandamano-sio-katika-uongofu-wa-uislamu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)