Swali: Je, anayepinga adhabu ya kaburi anakuwa kafiri anayetakiwa kutubia?

Jibu: Anatakiwa kutubia. Akitubia ni sawa. Vinginevyo anauliwa, kwa sababu amemkadhibisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Kama ni mjinga afunzwe. Aking´ang´ania anakufuru kwa kitendo hicho.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31379/ما-حكم-من-ينكر-عذاب-القبر
  • Imechapishwa: 23/10/2025