Swali: Ipi dalili ya uwajibu wa mwanamke kufunika nywele zake mbele ya wanawake wa kikafiri?
Jibu: Dalili ni kuwa wanawake wa kikafiri mara nyingi wanafanya khiyana katika amaanah. Huenda akaenda kusifia umbile la huyu mwanamke muislamu kwa mtu ajinabi, ikapelekea katika madhara. Ama kwa yule ambaye atakuwa na wanawake makafiri ambao ni waaminifu, hakuna ubaya akaonesha uso wake – khaswa ikiwa kumetokea dharurah.
- Mhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://z-salafi.com/v2/action
- Imechapishwa: 17/09/2020
Swali: Ipi dalili ya uwajibu wa mwanamke kufunika nywele zake mbele ya wanawake wa kikafiri?
Jibu: Dalili ni kuwa wanawake wa kikafiri mara nyingi wanafanya khiyana katika amaanah. Huenda akaenda kusifia umbile la huyu mwanamke muislamu kwa mtu ajinabi, ikapelekea katika madhara. Ama kwa yule ambaye atakuwa na wanawake makafiri ambao ni waaminifu, hakuna ubaya akaonesha uso wake – khaswa ikiwa kumetokea dharurah.
Mhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://z-salafi.com/v2/action
Imechapishwa: 17/09/2020
https://firqatunnajia.com/kwa-nini-mwanamke-hafai-kumuonesha-mwanamke-wa-kikafiri-nywele-zake/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)