Swali: Ni ipi hukumu ya kuweka intaneti nyumbani, ni mamoja ikiwa kwa haja au bila ya haja?
Jibu: Kile ambacho ni njia inayopelekea katika shari, haijuzu kukiweka nyumbani. Na kile ambacho ni njia inayopeleka katika kheri, hiki ni kizuri.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/12537
- Imechapishwa: 24/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket