Swali: Nina wanawake wawili ambao nimeletewa nioe. Je, niswali swalah ya Istikhaarah kwa kila mmoja au nifanye nini?
Jibu: Inatosheleza swalah ya Istikhaarah moja. Taka ushauri ni mwanamke yupi ambaye ni bora kwako. Huku ni kushuku baina ya mambo mawili, wanawake wawili ina ni baina ya mambo mawili.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/montaqo-17-10-1434_1.mp3
- Imechapishwa: 19/09/2020
Swali: Nina wanawake wawili ambao nimeletewa nioe. Je, niswali swalah ya Istikhaarah kwa kila mmoja au nifanye nini?
Jibu: Inatosheleza swalah ya Istikhaarah moja. Taka ushauri ni mwanamke yupi ambaye ni bora kwako. Huku ni kushuku baina ya mambo mawili, wanawake wawili ina ni baina ya mambo mawili.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/montaqo-17-10-1434_1.mp3
Imechapishwa: 19/09/2020
https://firqatunnajia.com/kutaka-ushauri-kati-ya-wanawake-wawili-wa-kuoa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)