Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kupeana mkono na mjomba wa baba yake au mjomba wa mama yake?

Jibu: Ndio. Sijui makatazo yoyote juu ya hilo, kwa sababu wanazingatiwa ni Mahram kwake.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 594
  • Imechapishwa: 31/07/2025