Swali: Je, jambo hili linahusishwa na uwezo wa utambuzi?
Jibu: Ndio, utambuzi huwa katika umri wa miaka saba. Haya ni maelezo ya jumla kuhusu umri wa utambuzi. Huenda mtoto wa miaka saba au minane asiwe anaelewa. Baadhi ya watu huwa hivyo. Wengine wana vipaji vya ajabu; akiwa mdogo wa miaka minne au mitano na anaelewa vizuri. Wengi wa watu huwa ni wale wa miaka saba. Kwa sababu hiyo wanazuoni wametoa hoja kwa yule aliyehifadhi, kama Mahmuud bin ar-Rabiy´, ambaye alikumbuka tukio ambapo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitema tone la maji mdomoni mwake, naye alikuwa na umri wa miaka minne au mitano. Alilikumbuka, akalihifadhi na akalisimulia baada ya kuwa mkubwa. Watoto wengi wadogo hukumbuka mambo yaliyowatokea wakiwa na miaka mitano au sita na huyahifadhi na kuyaeleza tena wakiwa watu wazima.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31370/ما-ضابط-التمييز-عند-الطفل-في-سن-السابعة
- Imechapishwa: 23/10/2025
Swali: Je, jambo hili linahusishwa na uwezo wa utambuzi?
Jibu: Ndio, utambuzi huwa katika umri wa miaka saba. Haya ni maelezo ya jumla kuhusu umri wa utambuzi. Huenda mtoto wa miaka saba au minane asiwe anaelewa. Baadhi ya watu huwa hivyo. Wengine wana vipaji vya ajabu; akiwa mdogo wa miaka minne au mitano na anaelewa vizuri. Wengi wa watu huwa ni wale wa miaka saba. Kwa sababu hiyo wanazuoni wametoa hoja kwa yule aliyehifadhi, kama Mahmuud bin ar-Rabiy´, ambaye alikumbuka tukio ambapo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitema tone la maji mdomoni mwake, naye alikuwa na umri wa miaka minne au mitano. Alilikumbuka, akalihifadhi na akalisimulia baada ya kuwa mkubwa. Watoto wengi wadogo hukumbuka mambo yaliyowatokea wakiwa na miaka mitano au sita na huyahifadhi na kuyaeleza tena wakiwa watu wazima.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31370/ما-ضابط-التمييز-عند-الطفل-في-سن-السابعة
Imechapishwa: 23/10/2025
https://firqatunnajia.com/kuna-kigezo-gani-cha-mtoto-kuwa-na-utambuzi-anapokuwa-na-miaka-7/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket