Je, akufurishwe anayechelewesha Dhuhr mpaka ´Aswr?

Swali 231: Vipi kuhusu mtu anayechelewesha Dhuhr hadi wakati wa ´Aswr?

Jibu: Hakufuru kwa kitendo hicho kutokana na shubuha, jambo ambalo amelitaja Ibn-ul-Qayyim katika kitabu chake ”as-Swalaah”[1].

[1] Uk. 162.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 93
  • Imechapishwa: 03/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´