Ibn ´Uthaymiyn kuhusu kunyanyua mikono wakati wa Takbiyr

Swali: Mswalaji anyanyue mikono katika Takbiyr zote za swalah ya jeneza?

Jibu: Maoni sahihi ni kuwa anyanyue mikono katika Takbiyr zote. Hilo limesihi kutoka kwa Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa). Kuna wanachuoni wanaosema kuwa mtu anyanyue katika Takbiyr ile ya kwanza tu. Lakini sahihi ni kwamba ni katika Takbiyr zote.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/134)
  • Imechapishwa: 15/09/2021