Funga ndoa, mjamii, halafu hakikisha…

Swali: Kuna mtu amemchumbia msichana na amemuona muono wa Kishari´ah na kukubali kukatimia. Je, anaweza kuomba kumuona kwa mara nyingine kwa kuwa amesahau sura yake na anataka kuhakikisha kukubali kwake?

Jibu: Hakuna. Afunge naye ndoa, amwingilie na ahakikishe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14301
  • Imechapishwa: 19/09/2020