Swali: Mke wangu anakataa kuzaa na sisi tuko na mtoto mmoja kwa hoja ya kwamba hali ya kimaisha hairuhusu kuwa na watoto wengi kutokana na majukumu na mengineyo. Ni ipi hukumu ya kauli yake?
Jibu: Mtoto riziki yake inatoka kwa Allaah. Haitoki kwa baba yake wala mama yake. Ama ikiwa hataki kushika mimba, kuna dawa: mtafutie mke mwengine pamoja naye. Oa mke mwengine juu yake ambaye atakuzalia watoto.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13369
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Mke wangu anakataa kuzaa na sisi tuko na mtoto mmoja kwa hoja ya kwamba hali ya kimaisha hairuhusu kuwa na watoto wengi kutokana na majukumu na mengineyo. Ni ipi hukumu ya kauli yake?
Jibu: Mtoto riziki yake inatoka kwa Allaah. Haitoki kwa baba yake wala mama yake. Ama ikiwa hataki kushika mimba, kuna dawa: mtafutie mke mwengine pamoja naye. Oa mke mwengine juu yake ambaye atakuzalia watoto.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13369
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/dawa-kwa-mwanamke-ambaye-hataki-kuzaa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)