Swali 682: Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu nguo ni Sunnah ifike nusu ya mguu au yote kuanzia nusu ya mguu mpaka kisigino ni Sunnah?

Jibu: Nusu ya mguu ndiyo bora. Alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anapenda kuzikunja nguo. Hata hivyo hapana vibaya kwa kilicho chini ya hapo [kisichovuka vifundo vya miguu].

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 244
  • Imechapishwa: 28/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´