Anadaiwa siku kumi au kumi na mbili?

Swali: Mwanamke amesahau ni siku ngapi za Ramadhaan anapaswa kulipa na hajui kama ni siku kumi au kumi na mbili. Afanye nini?

Jibu: Achukue idadi salama zaidi. Akiwa na mashaka kama anadaiwa siku kumi au kumi na mbili, basi alipe siku kumi na mbili. Achukue kilicho salama zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (19) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-22011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 06/12/2019