al-Fawzaan kuhusu Malaika kutoingia kwenye nyumba yenye picha

Swali: Picha ikiwa katika chumba miongoni mwa vyumba vya nyumbani, je, Malaika hawaingii katika vyumba vingine visivyokuwa na picha?

Jibu: Kwa nini waingie kwenye vyumba vingine? Malaika hawaingii nyumba yote kikamilifu. Hii ndio dhahiri ya Hadiyth.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13829
  • Imechapishwa: 20/09/2020