257 – Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhumaa) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
سلوَا الله لي الوسيلة، فإنّه لم يسألْها لي عبدٌ في الدنيا؛ إلا كنتُ له شهيداً أو شفيعاً يوم القيامة
“Niombeeni kwa Allaah Njia (الوسيلة). Hakuna mja atakayeniombea nayo hapa duniani, isipokuwa nitamshuhudilia, au nitamwombea, siku ya Qiyaamah.”[1]
Ameipokea at-Twabaraaniy katika ”al-Mu´jam al-Awsatw”.
[1] Nzuri.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/222)
- Imechapishwa: 07/03/2022
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
257 – Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhumaa) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
سلوَا الله لي الوسيلة، فإنّه لم يسألْها لي عبدٌ في الدنيا؛ إلا كنتُ له شهيداً أو شفيعاً يوم القيامة
“Niombeeni kwa Allaah Njia (الوسيلة). Hakuna mja atakayeniombea nayo hapa duniani, isipokuwa nitamshuhudilia, au nitamwombea, siku ya Qiyaamah.”[1]
Ameipokea at-Twabaraaniy katika ”al-Mu´jam al-Awsatw”.
[1] Nzuri.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/222)
Imechapishwa: 07/03/2022
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/08-hadiyth-niombeeni-kwa-allaah-njia-%d8%a7%d9%84%d9%88%d8%b3%d9%8a%d9%84%d8%a9/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)