03. Hadiyth ”Niliswali pamoja na Mtume nikamuona… ”

´Abdur-Razzaaq amepokea katika “al-Muswannaf” (1/384) kutoka kwa Ma´mar, kutoka kwa Ibn-ul-´Alaa[1] bin ´Abdillaah bin ash-Shukhayr, kutoka kwa baba yake, ambaye ameeleza:

”Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiswali na viatu vyake.”

Wapokezi wake ni wasimulizi Swahiyh.

[1] Anaitwa Yaziyd bin ´Abdillaah bin ash-Shukhayr, mmoja katika wasimulizi wa mtunzi.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: as-Swalaah fiyn-Ni´aal, uk. 7
  • Imechapishwa: 27/05/2025