Swali: Je, inajuzu kuwazindua waswaliji kufunga simu zao baada ya kumaliza kusawazisha safu?

Jibu: Ikiwak una ambaye anawashawishi watu kwa simu yake, basi ni wajibu kuwazindua. Ni lazima kuwazindua wazizime.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18073
  • Imechapishwa: 13/07/2019