Swali: Ni ipi hukumu ya kutazama ni nani anayepiga simu halafu mtu akaitoa sauti au kuizima katika swalah?

Jibu: Ni sawa kuitoa sauti au kuizima. Ama kutazama ni nani anayepiga simu ni jambo linaloshughulisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-02.mp3
  • Imechapishwa: 02/06/2018