Zawadi ya krismasi na mwaka mpya kutoka serikalini

Swali: Mimi naishi nchini mwangu. Nchi huku inanipa zawadi kwa mnasaba wa mwaka mpya. Nikipokea zawadi hizi inafaa kwangu kubaki nazo?

Jibu: Hapana. Usizipokee. Hata chakula kinachopikwa kwa mnasaba wa sikukuu ya kizushi usikichukue. Kwa sababu kufanya hivo ni kuwasaidia na kufurahia kile walichokifanya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (63) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
  • Imechapishwa: 17/12/2019