Swali: Mimi naishi katika mji wangu. Wakati wa mnasaba wa mwaka mpya serikali inanipa zawadi. Nikipewa zawadi hizi inafaa kwangu kuzipokea na kuzimiliki?

Jibu: Hapana. Usizipokee. Hutakiwi wala kula chakula kinachotengenezwa katika mnasaba wa Bid´ah. Kwa njia hiyo ina maana unawasapoti na unaridhia kitendo chao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
  • Imechapishwa: 23/07/2017