Swali: Inatokea wakati mwingine benki inawapa zawadi wale wateja mashuhuri. Ni ipi hukumu ya hilo?

Jibu: Usichukue zawadi. Ukipokea zawadi hiyo inakuwa uwezekaji. Hivyo zawadi inakuwa uwezekaji. Unaweka pesa benki kwa ajili ya kuzihifadhi, sio kwa ajili ya kuwekeza kwenye benki kwa zawadi wala kwa ajili ya kitu kingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
  • Imechapishwa: 11/02/2022