Zawadi kwa watoto baada ya kufanya ´ibaadah


Swali: Inajuzu kuwapa watoto zawadi kwa ajili ya kufanya ´ibaadah fulani na kwa ajili ya wema wao?

Jibu: Ni vizuri. Ni kwa ajili ya kuwashaji´isha na kuwalea. Ni vizuri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (62) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd14-07-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017