Zakaat-ul-Fitwr wakati wa ujauzito


602- Nilimsikia Ahmad akitaja Hadiyth ya ´Uthmaan ambayo akitoa Zakaat-ul-Fitwr kwa niaba ya kipomoko cha mjamzito. Alisema:

“Ni jambo zuri ikiwa mimba imethibitishwa.”

603- Nilisema kumwambia Ahmad:

“Je, mtu anahitajia kutoa Zakaat-ul-Fitwr mtoto akifa usiku wa kuamkia ´Iyd-ul-Fitwr?”

Alionelea hivo.

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 124
  • Imechapishwa: 12/03/2021