Zakaat-ul-Fitwr kwa familia ya mke


Swali: Inajuzu kuwapa Zakaat-ul-Fitwr ndugu kam vile mke au familia ya mke?

Jibu: Ndio, wakiwa mafakiri. Wapewe wakiwa ni mafakiri.

 

 

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://af.org.sa/en/node/4269
  • Imechapishwa: 23/06/2017