Zakaat-ul-Fitwr inakuwa chakula kilichozoeleka

Swali: Je, Zakaat-ul-Fitwr mtu anatoa ni chakula tu?

Jibu: Ndio. Chakula kinacholiwa katika mji. Chakula kilichozoeleka. Chakula chochote kinacholiwa katika mji.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-25.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020