Swali: Mimi nimemuoa mwanamke ambaye ana watoto wawili kutoka kwa mume wake aliyetangulia. Je, inafaa kwangu kuwapa zakaah kwa sababu hawapewi masurufu kutoka kwa baba yao?

Jibu: Mpe baba yao awahudumie. Hawa ni watoto wa kamba ambao hawastahiki kupewa zakaah. Mpe yule anayewahudumia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (99) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86-10-07-1440%D9%87%D9%80_0.mp3
  • Imechapishwa: 21/07/2019