Swali: Inafaa kuwapa zakaah wenye kufagia barabara?

Jibu: Ukijua kuwa ni mafukara na mshahara wao hauwatoshi na ni waislamu, ndio. Bali wao wana haki zaidi kuliko wengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 09/11/2019