Swali: Inafaa kwa baba kulipa deni la mtoto wake kutoka katika pesa ya zakaah?

Jibu: Hapana. Haifai kwa mtoto kulipa deni la baba yake wala baba kulipa deni la mtoto wake kutoka katika pesa ya zakaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2019