Zakaah kwa ajili ya ukewenza


Swali: Je, inajuzu kumpa zakaah ambaye anataka kuongeza mke wa pili?

Jibu: Kama anahitajia kuongeza mke wa pili, wa tatu na wa nne, Allaah ampe nguvu. Kama ni anahitajia kuoa wake wengi na hana uwezo, apewe zakaah. Kama si muhitaji, basi asipewe zakaah. Badala yake apewe michango mingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (81) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%B4%D8%B1%D8%AD%20%D9%81%D8%AA%D8%AD%20%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AC%D9%8A%D8%AF%20-24-07-1439%20%D9%87%D9%80.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 20/10/2018