Swali: Je, inafaa kumpa zakaah mama mkwe au kaka yake?

Jibu: Ndio, wakiwa ni wahitaji. Ambao hawajuzu ni wale wazazi na watoto. Haifai kumpa baba yako na haifai kwa baba yako kukupa zakaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (30)
  • Imechapishwa: 25/02/2022