Zakaah haitakiwi kwenda kwenye deni la maiti


585- Nilimsikia Ahmad akiulizwa kuhusu sanda ya maiti kamaa inaweza kufadhiliwa kwa pesa ya zakaah. Akajibu:

“Hapana. Zakaah haitakiwi kwenda kwa deni la maiti.”

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 121
  • Imechapishwa: 02/03/2021