Yule mwenye kuihalalisha dhambi kubwa anakufuru

Swali: Je, kuna tofauti kati ya yule ambaye anahalalisha dhambi kubwa na yule mwenye kuifanya?

Jibu: Yule mwenye kuihalalisha dhambi kubwa anakufuru. Lakini yule asiyeihalalisha hakufuru, lakini adhabu yake itakuwa nzito.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 02/10/2020