Swali: Vipi kuwaelezea watu kwa mfano kusema kuwa fulani ni wa kijani na kadhalika?

Jibu: Ni sawa ikiwa ni kwa njia ya kuelezea ukoo wake. Haijuzu ikiwa ni kwa njia ya kumtia mapungufu. Haijuzu ni mamoja unamweleza mtu huyo kwa kabila au kwa maumbile yake.

Swali: Kunazingatiwa ni katika kutusi?

Jibu: Ni aina fulani ya kutusi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22940/حكم-تنقص-الناس-في-انسابهم
  • Imechapishwa: 18/09/2023
Takwimu
  • 27
  • 413
  • 1,821,446