Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kutukana dini?

Jibu: Kutukana dini ni kufuru. Kumtukana Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni kufuru. Kutukana dini ni kufuru. Kadhalika kumtukana Allaah. Kuwatukana Maswahabah wote ni kufuru.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 84
  • Imechapishwa: 13/07/2019