Swali: Katika hafla za karama ya ndoa ni jambo limewekwa katika Shari´ah kwa wanawake kupiga dufu. Je, wakati wanawake wanafanya hivo imewekwa katika Shari´ah kwa wao kucheza?

Jibu: Ndio. Wacheze na kupiga dufu. Yote mawili ni Sunnah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (98) https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18006
  • Imechapishwa: 16/05/2019