Yesu mwenyewe akijiita mwana wa Aadam na si mwana wa Mungu wala Mungu


56Akasema, “Tazameni! Naona mbingu zimefunguka na Mwana wa Aadam amesimama upande wa kuume wa Mungu.” 57Lakini wao wakapiga kelele kwa sauti kubwa, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja. 58Wakamtupa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni mwa kijana mmoja ambaye jina lake aliitwa Sauli. 59Walipokuwa wakimpiga mawe, Stefano aliomba, “Bwana Yesu, pokea roho yangu” 60Kisha akapiga magoti, akalia kwa sauti kubwa akasema, “Bwana usiwahesabie dhambi hii.” Baada ya kusema hayo, akalala.

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Matendo 07:56
  • Imechapishwa: 03/12/2017