Yesu hakusulubiwa msalabani kwa mujibu wa Biblia

14Wakati huo mmoja kati ya wale kumi na mbili, jina lake Yuda Iskariote, aliwaendea wakuu wa mapadiri 15na akasema: “Mtanipa nini lau nitamsaliti kwenu?” Wakampimia vipande thelathini vya fedha. 16Tokea wakati huo akawa akitafuta nafasi muafaka ili apate kumsaliti.”

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mathayo 26:14-16
  • Imechapishwa: 29/02/2020