Yesu hakusulubiwa msalabani kwa mujibu wa Biblia 3

11Naye Yesu akasimama mbele ya liwali; liwali akamuuliza: “Wewe ndiye mfalme wa mayahudi?” Yesu akamjibu: “Wewe ndiye umesema hivo.” 12Pindi aliposhitakiwa na wakuu wa makuhani na wazee hakujibu kitu. 13Hapo ndipo Pilato akamwambia: “Husikii ni yepi wanayokushuhudia?” 14Hakujibu hata neno moja, hata liwali akastaajabu sana.”

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mathayo 27:11-14
  • Imechapishwa: 29/02/2020