Yesu hakusulubiwa msalabani kwa mujibu wa Biblia 2

47Basi alipokuwa katika kusema Yuda akaja, mmoja wa wale kumi na mbili, na pamoja naye kundi kubwa wenye panga na marungu, wametumwa na wakuu wa makuhani na wazee wa watu. 48Na yule mwenye kumsaliti alikuwa amewapa ishara: “Yule nitakayembusu, basi huyo ndiye, mkamateni.” 49Mara akamwendea Yesu, akamsalimia na kusema Rabi na kumbusu.”

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mathayo 26:47-49
  • Imechapishwa: 29/02/2020