Yesu akikataa kumsujudia shetani na kwamba Sujuud na ´ibaadah ni haki ya Allaah pekee

Halafu Ibilisi akamchukua mpaka kwenye mlima mrefu mno na akamuonyesha milki zote za ulimwenguni na fahari yake 9na akamwambia: “Nitakupa haya yote ukianguka kunisujudia.” 10Ndipo Yesu akamwambia: “Nenda zako, Shetani. Kwa maana imeandikwa: “Msujudie Mola, Mungu wako, umuabudu yeye peke yake.

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mathayo 4:5-11
  • Imechapishwa: 13/02/2020