Yepi makusidio ya swalah ya kati na kati?

Swali 10: Je, makusudio ya swalah ya kati na kati katika maneno Yake (Ta´ala):

حَافِظُوا عَلَى الصَّلَوَاتِ وَالصَّلَاةِ الْوُسْطَىٰ وَقُومُوا لِلَّـهِ قَانِتِينَ

”Shikamaneni na swalah na khaswakhaswa swalah ya katikati na simameni mbele ya Allaah katika hali ya utiifu.[1]

ni swalah ya ´Aswr? Je, hiyo ndio swalah bora zaidi?

Jibu: Maoni sahihi ni kwamba ni swalah ya ´Aswr. Hiyo ndio swalah bora kabisa.

[1] 02:238

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 33
  • Imechapishwa: 20/09/2018