Ya´juuj na Ma´juuj watakuwa wengi?

Swali: Je, Ya´juuj na Ma´juuj watakuwa wengi au wale ambao walifungiwa na Dhul-Qarnayn ndio ambao watatoka siku ya Qiyaamah?

Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Udhahiri ni kwamba watakuwa wengi. Kwa sababu ni katika Ummah wa wana wa Aadam.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (13) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191589#219913
  • Imechapishwa: 22/11/2019