Swali: Je, imesuniwa kumsomea Yaa Siyn yule anayetaka kukata roho?

Jibu: Kumepokelewa dalili katika masuala haya, lakini hata hivyo haikusihi. Hadiyth ni dhaifu na haisilihi juu ya kitendo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (15) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-24-11-1434_0.mp3
  • Imechapishwa: 28/09/2019