Wudhuu´ wa ´Ishaa usiku wa manane kwa mwenye istihaadhah

Swali 320: Inasihi kwa mwanamke mwenye damu ya ugonjwa kuswali kisimamo cha usiku kukishafika nusu ya usiku kwa wudhuu´ kwa ´Ishaa?

Jibu: Hapana. Kukishafika nusu ya usiku basi ni lazima kutia upya wudhuu´. Imesemwa pia kwamba haimlazimu kutia upya wudhuu´, maoni ambayo ndio yenye nguvu zaidi.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 121
  • Imechapishwa: 04/10/2019