Wudhuu´ unaingia katika uogaji wa janaba?


Swali: Mtu akioga janaba hana haja ya kutia wudhuu´?

Jibu: Endapo atanuia. Akinuia kuogsha:janaba pamoja na kutawadha ni sawa. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Hakika kila kitendo kinategemea nia.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (81) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-1-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 18/02/2018