Wudhuu´ kwa ajili ya Sujuud-us-Shukr

Swali: Imewekwa katika Shari´ah mtu kuleta Sujuud ya kushukuru (سجود الشكر) na ni lazima kuwa na wudhuu´?

Jibu: Ndio, ni swalah na hivyo ni sharti mtu awe na wudhuu´.

Sujuud ya kushukuu inaletwa wakati mtu amepata neema mpya au wakati janga limewaepuka waislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2017