Wito katika swalah ya ´iyd

“Swalah ya ´iyd, Allaah akulipeni thawabu.”

Jibu: Haifai. Kitendo hichi ni Bid´ah na hakina msingi. Kilichopokelewa wakati wa swalah ya kupatwa kwa jua ni kusema:

الصلاة جامعة

“Hii ni swalah ya pamoja.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
  • Imechapishwa: 31/05/2019