Swali: Kuna mwanamke zimemtoka nywele za kichwani kwa sababu ya saratani – Allaah atulinde sisi na nyinyi kutokamana nayo. Je, inafaa kwake kuvaa wigi? Afanye nini?

Jibu: Hapana. Wigi ni kuunganisha nywele. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amemlaani mwanamke mwenye kuunganisha na kuunganishwa nywele. Afanye subira. Allaah akitaka nywele zake zitaota tena. Afunike kichwa chake na asubiri. Allaah akitaka nywele zake zitaota tena.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 23/04/2021