Kwa wale wanaotaka kujiunga na sisi WhatsApp ili kupata nyujumbe zote zinazowekwa Firqatunnajia.com wanakaribishwa kujaza fomu iliyoko hapa endapo atakuwa tayari kufuata masharti ya kujiunga:

Ya kwanza: Haturuhusu kuweka picha ya kiumbe mwenye roho kwenye profile.

Ya pili: Haturuhusu kuandika chochote kwenye gruops zetu. Bali ni kupokea tu na kueneza kwa wengine kwa anayetaka.

Ikiwa utakubaliana na sharti zetu basi unakaribishwa kujiunga na sisi.

Tanbihi! Tangazo hili linahusu kina baba na kina mama. Kuna gruops za wanaume peke yao na wanawake peke yao. Watu wa Bid´ah wakiwemo:

1- Khawaarij (Ibaadhiyyah).

2- Jamaa´at-ut-Tabliygh.

3- Shiy´ah.

4- Hajaawirah.

5- Suufiyyah.

na wengineo wote hawakaribishwi. Wao waishilie hapa kwenye tovuti.

Jazaakum Allaahu khayra